Neymar, Firmino waipeleka Brazil robo fainali ya Kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Brazil imefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa kuitandika Mexico goli 2-0 .

Neymar akijaribu kumtoka beki wa Mexico

Magoli ya Brazil yamefungwa na Neymar Jr kunako dakika ya 51 na kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino dakika ya 88.

Brazil itakutana na mshindi wa usiku kati ya Ubelgiji na Japan kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa zaidi duniani.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW