Habari

NGARA: Ajali ya basi la abria, 10 wapoteza maisha

Watu 10 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospitali teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba.
Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, David Mapunda amethibitisha.

 

Chanzo Azam tv

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents