Ngassa aanza tizi

ImageHabari kutoka London zinasema kuwa Mrisho Ngassa, akiwa pamoja na
wakala anayetambulika na FIFA Yusuf Bakhresa, ameshaanza tizi na klabu
ya West Ham United na ameshacheza gemu moja la wachezaji wa akiba wa
klabu hiyo na wale walio katika majaribio ambapo alifunga goli maridadi
sana kiasi cha kupasi kwenda kupiga tizi na timu ya kwanza chini ya
kocha Gianfanco Zola.

Hatma yake itajulikana jumatatu ambapo zola anatarajiwa kupitia ripoti ya wataalamu wanaowafuatilia wachezaji walio katika majaribio, na dalili zinaonekana kuwa si mbaya sana kwa ngasa kwani katika wachezaji wanaojaribiwa ni yeye pekee aliyepata nafasi kwenda kupiga tizi na kikosi cha kwanza.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents