Burudani

Ngoma 18 zitakazopatikana katika albamu ya Wakazi, Barakah na One The Incredible washirikishwa

Rapper Wakazi ametoa orodha ya ngoma zitakazopatikana katika albamu yake ‘Kisimani’ inayotarajiwa kutoka mwaka huu.

Orodha inaoyesha albamu hiyo itakuwa na ngoma 18, wasanii walioshirishwa ni pamoja na Barakah The Prince, One The Incredible, Dabo, Frida Felix, Laylah na Ibrah Nation.

01. Kifo
02. Mtu Mzima ft. Frida Felix
03. So (Ustadi)
04. Kwanini ft. Barakah Da Prince
05. Moyo
06. Siri Ya Mafanikio
07. Tradin Bars ft. One Incredible
08. Bakora
09. Nabebwa Na Beat
10. Matatizo ft. Laylah
11. Ndoto Ya Kijiweni
12. Pole Pole Bro ft. Ayler
13. Wanawake Wa Dar (WWD)
14. Kila Siku ft. Rossie M
15. Amka Twende ft. Ibrah Nation & Laylah
16. Nimezama
17. Hapa Wakazi Tu
18. Nimetekwa ft. Dabo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents