Burudani

Ngoma mpya zijazo: Young Killa, Stamina na Quick Rocka/Chidi Benz na Julio

Wapenzi wa Hip Hop ya Tanzania wategemee ngoma mbili kali siku si nyingi. Ngoma ya kwanza ni Young Killa mzee wa Dear Gambe akiwa na Stamina na Quick Rocka.

page

Kupitia Twitter Stamina ameandika: Jana ilikua hatari sana kwa Mona Gangstar imefanyika joint kali sana ya Young Killer,Stamina,na Quick Racka…….tusubiri tuone.”

Ngoma nyingine ni ya Chidi Benz na Julio iitwayo Rise Up:

“Julio and the legendary chiddy benz..in the studio wrapping the sickest hippop Banger RISE UP! 600musik la familia murder international kill,” ametweet Chidi Benz.

Twazingoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents