Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Ngoma za STL zatikisa Hollywood

Ngoma ya ‘Big Girl’ kutoka kwa mwanadada Stella Mwangi maarufu kama STL, imepata shavu la kusikika katika moja ya filamu za Hollywood.

Nyimbo hiyo itasikika kama soundtrack katika filamu ya ‘Bad Moms Christmas’ inayotarajiwa kutoka katika msimu wa pili ifikapo Desemba 2017 katika channel ya HBO.

Hii imekuwa bahati kwa msanii huyu kwani ngoma hiyo hiyo ilipata nafasi ya kuwa soundtrack katika filamu ya ‘Rough Night’ iliyotoka mwezi June mwaka huu.

Filamu kama ‘Save The Last Dance 2′,’American Pie Presents’, na ‘The Naked Mile’ zimewahi kutumia soundtrack ya ngoma za msanii huyo kutoka Kenya.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW