Uncategorized

Ngorongoro Heroes yafungwa na Nigeria

TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes jana imeanza vibaya kampeni za kuwania kucheza Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri huo, zitakazofanyika nchini Algeria mwakani, baada ya kufungwa na Nigeria mabao 2-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wachezaji wa Ngorongoro wamesema kwamba uwezo wa kuwafunga Nigeria 2-0 wiki ijayo nchini kwao ili kusonga mbele kwenye Fainali za Afrika upo, iwapo watafanyia vema makosa yao.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents