Mitindo

Nguo za Fenty Beauty SS18 za Rihanna kuuzwa kwa zaidi ya tsh. 670k

Wewe ni mpenzi wa nguo za Fenty Beauty za Rihanna?

Mrembo huyo anatarajiwa kuachia nguo zake nyingine mpya toleo la SS18 akishirikiana na kampuni ya Puma ambazo zinatarajiwa kutoka Machi 15 ya mwaka huu.

Tayari bei ya nguo hizo imewekwa wazi ambayo ni dola 300 sawa na zaidi ya shilingi laki sita na elfu sabini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents