Nguzo zalamimikiwa

Mbao_Tanesco
Wakazi wa Kurasini Mivinjeni, walalamikia kuwekwa kwa nguzo zinazoshushwa maeneo ya kiwanja cha wazi kilipo maeneo ya Kota za Railway. Wakazi wa eneo hilo wamesema magogo hayo yamekuwa yakisababisha harufu mzito kiasi cha kuwasabishia mradhi ya  kukohoa na  mafua, kutokana na kemikari nzito iliyopakwa kwenye nguzo hizo.


Mbao

Mbao_kaungua

Na wafanya kazi wanao shusha nguzo hizo wamelalamikia uduni wa vifaa vya kazi, na kusema kunawasabishia kuchubuka mwili ikiwemo uso na mikono, huku wakilipwa
ujira mdogo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents