Burudani

Ngwair kuja na ngoma maalum ya Valentine’s Day

ngweir 2

Rapper Albert Mangwea aka Ngwair amesema wapendanao wajiandae kusikiliza ngoma yake special kwaajili ya siku ya yao, Valentine’s Day, February 14.

Ngwair ameiambia Bongo5 kuwa ngoma hiyo aliyoifanya AM Records chini ya producer Manecky inaitwa ‘Alma’.Amesema Alma itatoka siku mbili kabla ya Valentine’s Day na itakuwemo kwenye albam yake mpya iitwayo MIMI 3.

Ameongeza kuwa Mimi 3 itatoka mwezi April mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents