Michezo

Ni kweli Roma atahamia Sharobaro Recs baada ya Brazil kuchapwa na Ujerumani 7-1?

Kabla ya mechi ya jana ya Ujerumani na Brazil, rapper Roma Mkatoliki aliwaahidi mashabiki wake kuwa timu yake ya Brazil ikifungwa na Ujerumani atahama Tongwe Records na kwenda kufanya kazi Sharobaro Records inayomilikiwa na Bob Junior.

roma

Kupitia ukurasa wa Facebook, Roma aliandika: Brazil damu…no matter waat’ huku akiambatanisha na picha yenye ujumbe usemao ‘Kama Brazil tukifungwa leo nahama Tongwe Records naenda Sharobaro Records kwa Bob Junior’, Kauli hiyo imewafanya mashabiki wake kutaka kujua nini kinaendelea baada ya Brazil kupata mkongā€™oto wa bao 7-1.

Bongo5 ilimpigia simu Roma kutaka kujua lini ataingia kwenye booth ya Sharobaro Recs na kujibu: Masuala ya mpira sasa hivi sizungumzi, naomba niache, kama una mambo mengine tuzungumze.”

10544380_594995770618272_7593495027006451335_n
Picha yenye ujumbe ambayo Roma alipost

Haya ni maoni ya wadau na mashabiki wa muziki wake.

Hamzally Mbwego
Unatutia aibu bro yani unathubutu kabisa kusema unahama ha ha haaaaaaa ebu tuombe radhi bhana!

Athuman Ally Athuman
Ahadi kama hizi uwe unaweka moyoni kaka coz oneday itacost sana pande yako haya kuanzia now nikuone kwenye viuno sasa

Vincent Evance Manyasi
Itabidi upelekwe Tanga kwanza ukafukizwe. Ulishwe kungu ujue kurembua maana huwezi shine bila mapozi.

Rezgod Godfrey
Wambie hatukuogopa tabiri za shehe yahaya. mauti ingetufika bila kumpinga jakaya, sisaliti sirudishi kadi ka Nakayaaaa..hahahahaha brazukaaaaaaa

Paschal Charles
Oy nilikuahidi kukupa mke wangu kama German ingefungwa ila wewe timiza ahadi yako bro.
Hamis Mgwalle
plz don go anywhr…dats football..smtym it pain more than anythn R.O.M.A….STAY BLESSED @TONGWE REC.

Fidege Alex
Seme fresh mtaludisha leo kwenye maludio na ahadi yko haita haita timia na kuanzia sasa sio roma tongwe ni roma sharobaro huhuhuhu

Hamzally Mbwego
Unatutia aibu bro yani unathubutu kabisa kusema unahama ha ha haaaaaaa ebu tuombe radhi bhana!

Ramer Badru Depay
Wangapi wanafanya ngoma kwa Bob hawakati viuno ila ukweli Bob anakijua kitu kizuri

Tommy Chrizo
Ayaa sas lebo yetu ya Sharobaro ishapata mc mpya!! Naanza chorus twende verse,.”oyoyoooyoyooo*4 anaanaanaanaadoo tongwe kiukwel utapamis some mooo.,sita saba jerumani sooo soka la halina mchezooo!,..Ingiza verse@roma.

King Aron
Na wewe Roma unashabikia timu mbovu kama ile.hama shabikia watu wanaojua soka Ujerumani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents