Burudani

Ni kweli zimeisha? 50 Cent anauuza mjengo wake kwa dola milioni 8.5!

Rapper 50 Cent amepunguza bei ya kuuzia mjengo wake wa kifahari uliopo Connecticut.

2BB565E000000578-3212318-image-a-19_1440683698920

Nyumba yake yenye ukubwa wa 50,000-square-foot iliyopo mjini Farmington, wenye vyumba 21 na bafu 25 sasa anauuza kwa dola milioni 8.5.

2BB565E600000578-3212318-image-a-21_1440683810770

Awali nyumba hiyo alikuwa anaiuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 lakini bei hiyo iliendelea kushuka.

2BB565D800000578-3212318-image-a-18_1440683642592

Wanasheria wanaomwakilisha amesema atajaribu kuiuza tena nyumba hiyo ili kuongeza fedha zake baada ya kutangaza kufilisika miezi kadhaa iliyopita.

2BB565ED00000578-3212318-image-a-20_1440683733994

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents