Habari

Ni msanii gani wa kike wa Afrika Mashariki anayeendesha ‘ndinga’ kali kama huyu?

zari

Zari ni msanii wa nchini Uganda ambaye pia ni mfanyabiashara aliyefanikiwa kinoma. Taja aina ya magari yote makali na ya kifahari uyajuayo, Zari alishawahi kumiliki. Leo Kupitia Twitter msanii huyo mrembo aliyejipa jina la The Boss Lady amepost picha hii na kuiandikia: Boxing day chillaxin in ma clk500!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents