Habari

Ni muhimu Waafrika washirikishwe katika majaribio ya chanjo – Wanasayansi

Wanasayansi wanasema ni muhimu Waafrika washirikishwe katika majaribio ya chanjo, na kuongeza kuwa wasipofanya hivyo watalemaza juhuzi za kupatikana kwa chanjo itakayofanya kazi kote ulimwenguni- na wala sio kwa nchi tajiri pekee.

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus, alitangaza mkakati wa kimataifa wa “majaribio ya pamoja ya chanjo” kwa lengo la kutafuta dawa ya kutibu Covid-19, ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na virusi vya corona.

Kufikia sasa hakuna tiba iliyopatikana, na WHO inasema chanjo itasaidia kuzuia na kudhibiti na janga la corona.

Pia itasaidia mfumo wa kinga ya watu mwilini, kupigana na virusi na kuwazuia kuwa wagonjwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents