BurudaniDiamond Platnumz

Ni povu tu mtandaoni baada ya Willy Paul kumtembelea Diamond ofisini kwake

Changamoto kubwa aliyonayo msanii wa gospel wa Kenya, Willy Paul Msafi ni kujichanganya na wasanii wanaoimba muziki wa kidunia (secular artist).

Hata hivyo, hicho siku kitu kinachomnyima usingizi msanii huyo mwenye nguvu nchini Kenya. Na ndio maana aliamua kufanya wimbo na Mjamaica, Alaine uitwao ‘I Do’ unaotamba ile mbaya kwa sasa.

Mkali huyo ametua Tanzania wiki hii kwaajili ya ziara ya vyombo vya habari kupromote wimbo huo. Na kwakuwa yupo kwenye ardhi ya role model wake, Diamond, hakuchelewa kutua kwenye makao makuu ya WCB kusaliamiana naye.

“Now you know!!! Fruitful meeting!!! No stopping!!! @diamondplatnumz
@wasafirecords,” ameandika Willy kwenye picha akiwa na Chibu aliyoiweka kwenye Instagram.

Post hiyo imezua mjadala mzito kwenye ukurasa wake na kila shabiki ana lake, ilimradi ni tafrani tu.

Hizi ni baadhi ya comments:

Veedeevirgy: I wonder how it is fruitful! No offense but I would advice some soul searching if you have the time to, God bless

princess_mwangi: Am eagerly waiting for the day Willy will say he has shifted to secular music, you really fit in secular music, gospel is a no for me… And there is nothing like gospel love song… Also we need new ideas not duplicated from someone… Anyways I wish you all the best in your music journey.. #You are awesome when you become you

shiqouhliz: @willy.paul.msafi am just weeping for you????????????. Whoever sees this is right then u belong to the world @willy.paul.msafi am not righteous ata sina right yakukujudge but brother you are losing it #truth you should convert them n not the other way round but again I understand ninyakati za mwisho n it’s written in the bible ata nikachukua microphone and shout it in your ear hutaskia only God can change your mind n heart.

suzanne_awino: Kwa Yesu hakuna warm its either ua ????or ❄ so its either ua in gospel or secular na hizo signs zako!!!Enwe whos me to judge but am alert!! #uafulfillingthescriptures

davispicer: Dude!..????jst stop with ur shitty gospel songs uimbe secular mara moja????…coz whoever ein’t seeing the signs displayed by ur hands mkiwa na Diamond must be a blinded fool..????

museti2: This boy is not of gospel at all, it was just a matter of him hiding ndo arudi kwa vyia dunia! Get tu kwa secular

sethlunanijr: You’ve actually transfered like a footballer(one team to another)FROM gospel to secular,!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents