Burudani

NICE P: MUZIKI WA BONGO HAUFI ILA MALENGO YA WASANII NDIO YATAKUFA.

Ukiizungumzia studio y aegis ni lazima utamtaja Nice P. Nice P ni mtayarishaji  wa muziki kutoka katika studio hiyo, NICE P  ambaye ndio projuza wa siku nyingi pale Aegies hata wakati alipokuwepo mtu mzima CMPLEX (R.I.P) aliyaseama hayo mara baada ya kuzungumza na bongo5.
Nice p aliiambia bongo5 kuwa muziki wa bongo bado upo ila  kwa wasanii wa muziki huu  bado hali ni ngumu kutokana

 

na kutokuwa na ushirikiano baina yao wao wenytewe na hata kwa wadau wengi na kitu kingine alikisema kuwa kinaua malengo ya wasanii ni kule wasanii wenyewe kukosa misimamo
Akizungumzia muziki wa bongo akiwa kama projuza nice p alisema “muziki wa bongo upo real ila kiukweli bado hatujafika kwenye levo za kuweza kufanya ushindani katika soko na hii inatokana na wasanii na wadau wote kutokuwa siriaz na kile wanachokifanya”
Akizungumzia kile chama caha maprojuza kilichokufa mara tu baada ya kusajiliwa Nice P alisema kuwa kile chama kilikufa kwasababu ya baadhi ya wanachama kutokuwa waaminifu na pia kilikufa kwa kile alichosema ni uoga [ia ulichangia kwa kiasi kikubwa kwani ilifikia hatua ya ktishiwa kupoteza kazi zao hivyo kila mmoja akiluz kontro na kujikuta chama kikibakiwa na watu wachache hivyo kukosa nguvu na kishia kufa.

“mkiwa hamna ushirikiano hata mkianzisha kitu chochote lazima mshindwe kwenda mbele, kwani watu tuliokuwa nao katika kile chama walitoka na kuvujisha vitu kwa watu ambao wako kinyume na sisi, ikafika hatua ya wale watu kutufuata na kuanza kututishia kutuzima na hata kutupotezea kazi kama tutaendelea na hili suala (chama)”
Aliendelea kusema kwa kuaadvais maprojuza wenzake “jamani tushirikiane ili kuendeleza hii sanaa kwani bila kushrikiana na kujiamni basi malengo yetu hayatafikia kokote”.
Na mwisho wa yote Nice P alisema watu wajitahidi tu kufanya kile wanachoona kitakuwa na mafanikio kwao.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents