Burudani

Nick minaj uso kwa uso na Ex wake

Baada ya kuachana na mpenzi wake Meek Mill na kutuambia na kaushiria mara kwa mara yuko single,hatimaye Queen of rap amekutana uso kwa uso na ex wake wakiwa club.

Nick Minaj akiwa na boss wa Cash Money ,Birdman walikuwa katika club LIV iliyopo Miami nchini Marekani, siku ya jumapili usiku na kugonganisha macho yao na Meek Mill ambaye ni ex boyfriend wake. Nick na Birdman walikuwa wakishangweka katika VIP louge ya club hiyo, huku Meek Mill naye akiwa upande mwingine,ila hakuonekana kuwa na wasiwasi wala hofu juu ya kumuona ex wake.

Katika club hiyo mastaa kadhaa walikuwepo akiwemo Mack Maine, Jason Derulo, Yo Gotti, Jim Jones, Adrian Broner, Cortez Bryant na Moneybag Yo.

Habari nzuri ni kwamba wote hawakuonekena kumaind mwenzake huku kila mtu akiwa na wapambe wake wakifurahia usiku huo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents