AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Nicki Minaj abadili ratiba ya kuachia albamu yake mpya

Nicki Minaj ameamua kubadilisha ratiba ya kuachia albamu yake mpya.

Mapema mwezi huu katika onyesho la mitindo na mavazi Met Gala lililofanyika mjini New York, malkia huyo wa Hip Hop alisema albamu yake itatok Juni 15 na itaitwa jina la Queen.

Kupiia mtandao wake wa Twitter, Nicki ameonekana kubadili muda wa kuachia albamu hiyo na kupanga kuiachia Oktoba 8, 2018.”8|10|18 #Queen,” ameandika Minaj.

Albamu ya mwisho ya Nicki Minaj ilikuwa inaitwa The Pinkprint (2014) ambayo ilifanikiwa kutinga namba moja kwenye chati za Billboard 200.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW