Burudani

Nicki Minaj ajipanga kupiga mkwanja zaidi kwenye biashara hii

Nicki Minaj ameamua kutafuta njia nyingine ya kuingiza mkwanja zaidi.

Rapper huyo wa kike anatarajia kuachia bidhaa yake mpya ya lipstick kupitia kampuni ya M.A.C mwezi Septemba ya mwaka huu.

Nicki amethibitisha hilo kupitia mtandao wa Twitter kwa kuandika, “Guess who’s back w/ M•A•C? Surprise announcement coming for 2018! Until then, #NickiNudes come out globally in September.”

Kwa mujibu wa Billboard, wameripoti kuwa bidhaa hiyo itauzwa kwa kiasi cha dola 18 kwa lipstick moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents