Habari

Nicki Minaj amtosa Mario Balotelli, akataa kukutana naye

First Lady wa YMCMB Nicki Minaj ambaye hivi karibuni alisema angependa kutulia na kuwa na familia miaka michache ijayo alikataa kukutana na mchezaji wa Manchester City Jumatatu usiku ya wiki hii (22.10.12) kwasababu alikuwa amechoka mno baada ya kufanya show jijini humo.

Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun: “Mario aliumia. Ni shabiki wake mkubwa na alienda na zawadi akiwa na wachezaji wengine wa Man City.

“Lakini Nicki alikuwa amechoka sana baada ya show, hivyo Balotelli alienda nyumbani kwa huzuni kwakuwa alikuwa amenunua mpaka camera ya kumzawadia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents