Habari

Nicki Minaj amzungumzia Nelson Mandela, atumia maneno ya Kiswahili ‘Madaraka kwa watu’

Dunia nzima inamkumbuka kiongozi mkubwa wa Kiafrika, Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Rolihlahla Mandela. Mastaa mbalimbali wameendelea kuelezea jinsi walivyoguswa na kifo chake.

Minaj

Rapper wa YMCMB Nicki Minaj, ni miongoni mwa mastaa wa muziki ambao wamemkumbuka Madiba. Kupitia Instagram Minaj ameshare picha ya Mandela, na kuandika ujumbe ambao mwisho una maneno ya Kiswahili “Madaraka Kwa Wote”.

Hiki ndicho alichoandika,

“ A complete and fulfilled life of a King. We could never repay you for your dedicated, passionate fight against injustice. We enjoy the very liberties you gave your freedom for. Your legacy will never die. Thank you, and may God bless your soul. ***Madaraka kwa watu***. “ Ameandika Minaj.

n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents