UmbeaVideos

Nicki Minaj ashangaza wengi katika tuzo za Grammys 2012 [Video]

Nyota wa Hip Hop Nicki Minaj alishangza wengi kwa kuudhuria tuzo za Grammys huko akisindikizana na mtu aliyevaa kama Papa, isitoshe msanii huyu aliendelea kuwakwaza watu alipotambulisha wimbo wake mpya wa Roman Holiday na kuigiza kama anatolewa mashetani.

Performance yake imeibua maoni mengi tofauti, wengine wakisema Nicki Minaj alidhalilisha dini ya Kikristo na wengine wakimeteta na kusema kwamba yote ni sanaa na uhuru wa kujieleza.

Wadau tupeni manoni yenu, video hii hapa:

[dailymotion]http://www.dailymotion.com/embed/video/xolh0s_21221223435_lifestyle[/dailymotion]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents