Habari
NIDA yaja na kituo cha huduma kwa wateja
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kimeanzisha kituo cha Huduma kwa Mteja (NIDA call center) itakachokuwa kinahudumia nchi nzima malalamiko, maswali changamoto na shida mbalimbali kuhusu masuala ya usajili na utambuzi.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo