Habari

Nikikua nataka kuwa kama Rais Magufuli – RC Makonda (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini wamuombee ili akikua awe kama Rais Magufuli katika utendaji kazi na hekima zake.

RC Makonda ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Januari 11, 2019 katika hafla ya kupokea ndege ya pili  aina ya Airbus A 220-300 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents