Habari

Nikikukosoa usinijibu kwa kunitolea bastola – Nape Nnauye (+Video)

Mbunge wa jimbo la Mtama. Mhe Nape Nnauye amefunguka kwa mara ya kuwa viongozi wa vyama vya kisiasa lazima wawe wavumilivu pale wanapokosolewa na sio kutumia nguvu ili kuwatisha wakosoaji.

Nape amesema kwa sasa ni muda wa wanasiasa kujifunza kushindana kwa hoja na sio kwa kutumia nguvu za vitisho kwa kushikiana bastola.

SOMA ZAIDI – Aliyemtishia bastola mheshimiwa Nape si polisi – Mwigulu

Kwanza wanaosema wanahofu ya kuzungumza ukweli ni udhaifu wao wenyewe, mbona mimi nasema na wapo Wabunge wengi wanasema, Tusiruhusu dhana hii ijengeke tutaua demokrasia yetu…Na kubwa kabisa kuhusu demokrasia ni watu kuvumiliana leo nikikukosoa usikasilike na kuinua bastola njoo na hoja, tushindane kwa hoja,“amesema Mhe. Nape Nnauye kwenye mahojiano yake na Bongo5.

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents