Burudani

Nikki Mbishi aeleza kwanini haimuumizi kutokuwa ‘namba moja’

Nikki Mbishi hataki kuwa namba moja.

Mbishi

Infact rapper huyo anaamini kuwa haiwezekani wasanii wote kuwa namba moja na kwakuwa hiyo ni nafasi inayopiganiwa na kundi kubwa la watu, hakuna anayeweza kuimiliki milele. Hiki ndicho alichokiandika kwenye Instagram:

Siku ya kufunga shule,kunakuwaga na SKULI BARAZA,miksa wanafunzi watatu bora kupewa zawadi kwa levels zote…Kulikuwa na kitu au kipo mpaka sasa sina uhakika eti nafasi MOJA wanafungamana watu zaidi ya MMOJA….ki ukweli hii sio sahihi kabisa huwezi kuniambia “NAFASI YA PILI WAMEFUNGAMANA WATU WANNE,nao ni @roma2030 @NikkiMbishi @stereotanzania na @niitesonga.

Unataka kuniambia tukichukua mtihani tukawapa hao wanne walioshika nafasi ya pili WATAFUNGAMANA TENA AU ATATOKA MTU WA KWANZA MPAKA WA MWISHO MIONGONI MWAO? Basi tukubaliane kuwa hatuwezi kuwa NAMBA MOJA wote kwa wakati MMOJA ikiwa nafasi tunayowania ni MOJA…..”ACHENI MWENYE KUPATA APATE NA MWENYE KUKOSA AKOSE”

#SIO_LAZIMA_NIWE_KAMA_MSANII_WAKO_UNAYEMPENDA #NAITWA_NIKKI_MBISHI na wao wana MAJINA yao sikukatazi kuwaona wao ni BORA Kuliko mimi lakini kumbuka ili Useme wao ni BORA ni lazima walinganishwe na BORA wengine ambao ndio sisi #DOUBLE_LOSERS NA KAMA UNAONA NI RAHISI HIVYO BASI NA WEWE FANYA. “Angalieni wenzenu WAMESWITCH FLOW wanapiga HELA” nilipoanza nilikuwa siwaangalii wao “FLOW SWITCHERS” na niliyokuwa nawangaalia hawajawahi kuniambia “NIKKI SWITCH FLOW UPIGE HELA” #SITAKI_KUWA_NAMBA_MOJA #I_JUST_MAINTAIN_THE_STATE_OF_THE_GAME_AND_ALL_THE_BEST_THE_GAME_BRINGS_INTO_MY_LIFE. #RESPECT_ME FOR WHO I AM NOT WHAT I HAVE!!! #NAWAHESHIMU

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents