BurudaniVideos

Nikki na video ya Kiujamaa

Nikki_mfalme

Mwanamuziki toka A Town, Nikki wa pili, yupo katika umaliziaji wa video yake ya Kiujamaa, ambayo amemshirikisha Pipi. katika video hiyo amefanyia sehemu mbalimbali ikiwemo katika mjengo mmoja pale Suvey Mlimani.


Video yake hiyo ameifanya katika miondoko ya kiafrika zaidi, kwa kushirikisha mavazi na mitindo mzima wa uchezaji.

Nikki_2_warembo

Nikki_na_Pipi

 

Nikki_pipi_video

Pipi_msuko_mpya_NIKKI2

Pipi_warembo_niki2

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents