Burudani

Niko sawa tu – asema Collo kwenye picha akiwa na noti za kutisha za dola mia mia!

Rapper wa Kenya, Collo anaweza kuwa amepotea kwa kiasi kwenye mawimbi ya redio na TV licha ya kuwa na ngoma mpya za hapa na pale, lakini haimaanishi kuwa amepigika.

10995147_969728439734771_143082682_n

Pengine anataka kudhihirisha hilo kwa mashabiki wake ndio maana ameamua kupost picha Instagram akiwa ameshika lundo la kutisha la noti za dola mia mia!

“Sina ubaya na mtu mimi. Niko sawa tu,” ameandika Collo kwenye picha hiyo.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents