Burudani

Nimesoma Biblia na Quran nimeamua bora kuwa Muislamu niwe karibu na Mungu – Barakah The Prince (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince amefunguka ishu ya kubadilisha dini kutoka kwenye ukristo na kuwa Muislamu huku akidai kuwa maamuzi hayo yamechukua muda mrefu hadi kuyatekeleza.

Barakah akiongea na Bongo5 amesema kuwa amejitahidi kusoma Biblia na Quran na akaja kubaini kuwa Uislamu ndio dini yake pekee kwa sasa ambayo itamuweka karibu na Mungu.

Related Articles

152 Comments

  1. Siku zote mtu akifulia lazima arudi kwa mungu ndo ujue pesa zinatuweka mbali na mungu bora kuishiwa tu ili urudi kwenye mstari maaana mnajisahau hakuna namna😁😁😁😁😁😁😁

  2. Guys!! Achen kumtusi baraka,kwanza haja taja mtu 2.hajasema kuwa yye n mkristo,Ivi niwaulize…Tofauti ya mwislamu na mkristo ni nini? Si ni msikiti na kanisa…Je huyu asiyeenda msikitini au church Tumwiiteje….????kuweni na akili

  3. Dini tumeletewa nashangaa kusoma comments za watu wachache wenye upeo mdgo eti uislamu ndio dini ya kweli….wapi hii prove imetoka. Ama hakika naamn bado kuna ubaguz wa kidini….kubadli dini kwa baraka ni yy binafsi si kama kuna madhaifu dini aliyotoka na Dini tumeletewa zisingekuwepo hz kuna vngne tukiabudu tu…..so IMANI yako itakuokoa katk dhamb na sio kukumbatia mm ni din gan na vp…amin ukristo ulikuja kipnd cha WAMISSIONARY na uislamu kipindi cha WAARABU kuingia pwani ya africa mashariki…tulikua tukiabudu miti n.k sasa kwann hawa wengne waislamu wanasema dini ya kwel islamic?? Nyie hachen zenu dini tumeletewa hizi na tunakufa tutaziacha ila IMANI yako itakuokoa milele

  4. Sio umeamua kuwa muisilamu uwe karibu na mungu#najma ndo kakubadilisha mbwa ww akikuacha usirudi tena kuwa mkristu #ww ni yuda unawasaliti wazazi wako kwa hio walifanya makosa kukuzaa au unahangaika tu na dunia

  5. Huyu atakua kafosiwa na kile kidem chake abadili dini kama hataki asepe kua chini ya mwanamke shida sana hata akikwambia leo utalala sebuleni unakubali bila kuuliza kwanini jamani vidume tupambane bana videmu visitutawale

  6. Unamaanisha Ukristo ukomabali Mungu nyooooo subir uingie jehanamu siku Allah atakapotia mguu wake huko muungue wote motoni. Mcha Mungu manyere kaa chizi nafasheni za kuzimu hizo kama hujui.

  7. Ahmadi Hassan Hussein kufa nitakufa mm nibaki kama nani walkuwpo mitume na manabii wamekufa na ktk dini walizokuwepo mm ni nan nisfe….hakuna atakae dunian tunapta…naamn imani niliyonayo na din nliyoikuta toka nazaliwa na nlpokatwa kitovu. Ni bora ukaamini kama mm Mungu yupo ata nikienda nimkute kulko kutokuamn na kwenda ukamkuta yupo….hapo ndipo utaamn upya lkn utakua ushachlewa

  8. Makanisa ya Leo yanahubiri pesa na waumin kufuata uponyaji na sio wote wanaoponya wanaponya kwa nguvu za mungu wengine nikutumia uchawi kwa mfano wanaotumia kama Pete sijui mafuta ya upako sijui maji yabaraka sijui kitambaa mmh hawa watu nawasiwasi nao we simama na imani yako basi

  9. Ahmadi Hassan Hussein sawa umenielewa kaka point yang ni hv mm nakataa mtu muislamu anaposema upande wake et dini yake ndio dini inayotambulika na Mungu kwa prove ipi apo ndio sitak kukubali hilo. Hz dini tumezkita tu kaka mm na ww na tukakulia nazo toka kwa wazaz wetu ila.waliokufa uko ndio wanajua kitovu cha hzi dini…ila.kihistoria hz zmekuja.na meli kipnd cha watumwa na kutawalia na kuenezewa dini zao….we jiulize wangekuja #wachina leo situngekua mabudha sisi

  10. Izo dini zote tume letewa bora ungelitafuta Mungu wa Africa kwasababu walieye tu leteya izo dini wame kuta mababu zetu wanamjua Mungu.

    Je wao ni wanani kwakutuleteya dini.

    Je wao ni watu special kuliko sisi.

    Africa lamuka nau one mbali.

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents