Nisha afunguka kuhusu mpenzi wake mzungu pamoja na utamu wake aliouzungumzia (Video)

Msanii wa filamu Nisha Bebee amefunguka kumzungumzia mpenzi wake mpya wa kizungu ambaye amempost leo na kueleza jinsi anavyompenda. Mfanyabiashara huyo amedai kwasasa moyo wake umetulia baada ya kumpata mtu sahihi ambaye anapendana naye na kuachana na vibe-10 ambavyo amedai vilikuwa kwake kwaajili ya pesa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW