Bongo Movie

Nisha wa Bongo Movies arekodi wimbo kuhusu maisha yake

Muigizaji wa filamu aliyehamia pia kwenye muziki wa Bongo Flava, Nisha, ameachia wimbo mpya ambao ameutumia kuzungumzia maisha yake.

Wimbo huo unaitwa ‘Ukweli Ndio Dawa’.

“Track yangu mpya inaitwa ‘Ukweli Ndio Dawa’ ni track ambayo nimejaribu kuzungumzia baba wa aina fulani hivi yaani familia yake, vitu kama hivyo vimenikosti kwenye maisha yangu na vikaharibu tape ya maisha yangu kama tunavyoelewa mtoto inajulikana kama ni empty tape kwahiyo chochote kinachoonekana katika macho yake au kusikia kinarecord katika ubongo wake,” Nisha aliiambia EA Radio jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents