Burudani

Nisher asema umri unamfanya afikirie kuoa

Mtayarishaji wa video za muziki nchini, Nisher amesema anafikiria kuoa.

11909937_518920154933584_1087997624_n

Nisher ambae yupo kwenye mapumziko katika kazi yake ya kutayarisha video, ameiambia Bongo5 kuwa wazazi wake wameanza kumuuliza kuhusu kuoa.

“Umri wangu unaenda,” amesema. “Natakiwa nianze kujiandaa kuoa, yaani nina mambo mengi. Familia yangu inaniangalia, wazee wangu wameenda umri umekuwa mkubwa, wanataka mjukuu, kwahiyo natakiwa nianze kujitenga,” amesisitiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents