Burudani

Nisher, Hemedy, Gelly wa Rhymes na Lulu kuigiza filamu moja?

Kuna dalili zinaonekana kuwa huenda muongozaji wa video nchini Nisher anataka kuingia kwenye filamu. By the way alishawahi kusema angependa kuja kuwa miongoni mwa waigizaji wakubwa wa filamu Bongo.

60726_498846616863569_1237149906_n

Hii imetokana na picha aliyoiweka kwenye kwenye akaunti yake ya Facebook, yenye sura yake pamoja na waigizaji wa filamu, Hemedy Suleiman aka PHD, Gelly wa Rhymes na Elizabeth Michael aka Lulu. Kwenye picha hiyo, Nisher ameandika: Swali la KIZUSHI, KAMA HII INGEKUA MOVIE INGEITWAJE?? H/G/N/L.

Dalili kuwa huenda kukawa na project ya kweli ya filamu hiyo zimeongezewa chumvi zaidi na uamuzi Nisher kuweka picha hiyo chini kama ‘cover photo’ mpya ya ukurasa wake Facebook.

1002544_498843680197196_670246211_n

Haya ndio baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na mashabiki wa Nisher kuhusu jina la movie hiyo:
Precious Keyler Prosper HOT SWAGGS, BEEF COZ OF LUV, MY SWAGGZ, three suitors one husband, Swaggz In Town, Am a champin n0t star, Hot Time, 3 suitors; THREE IN ONE, Noble the four buddies, The four rivals
True Colors, Sharo movie, The Legends nk.

Muda utaongea.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents