Michezo

Nitastaafu baada ya mbio za Dunia – Bolt

Mwanariadha raia wa Jamaica, Usain Bolti amesema ataendelea na harakati za kukimbia hata mara baada ya mbio za dunia za mwaka 2017.

Mwanariadha raia wa Jamaica, Usain Bolti

Bolti mwenye umri wa miaka,30 mshindi mara nane wa mbio za Olimpiki hapo awali alitangaza kustaafu baada ya mbio za London mwezi Agost lakini kwa sasa ni mpaka mara baada ya mbio hizo za dunia.

Akiongea siku ya Jumatatu Bolt amesema amefanya mazungumzo na kocha wake Glen Mills na kuafikiana juu ya kuhitimisha kwa safari yake katika medani ya riadha.

Bolt amekuwa mmoja wa wakimbiaji mashuhuri duniani huku akitajwa kama binadamu mwenye kasi zaidi.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents