Habari

Njia mpya ya kuwasaidia wananchi kuwauliza wabunge wao maswali popote walipo yaanzisha – Video

Njia mpya ya kuwasaidia wananchi kuwauliza wabunge wao maswali popote walipo yaanzisha - Video

Taasisi isiyo ya Kiserikali inayohusika na kukusanya maoni na maswali mbalimbali ya wananchi kwa wabunge wao na maswali na maoni pia ya wananchi kwa wabunge wao kwa ajili ya kusukuma gurudumu la maendeleo Tanzania inayojulikana kama Tangible Initiatives for Local Development Tanzania (TIFLD)

Taasisi hiyo inayohusika na kukusanya maoni na maswali kwa wadau na wananchi yanayowahusu wabunge wao, waliandaa mjdala na wana habari kwa ajili ya kushauriana ni namna gani Taasisi hiyo itaweza kufanya kazi kwa ufasaha na bila upendeleo kwa pande zote mbili lakini pia wakiandaa Forum mpya ya watu kuweza kujiandikisha kwa ajili ya kutoa maoni yao na hata kuwauliza maswali wabunge wao hata kama wamelisahau jimbo au kuna miradi inakwama katika jimbo au wilaya husika.

Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Geline Alfred Fuko ameeleza lengo la kuianzisha taasisi hiyo na waliona nini kwa jamii hadi kupelekea kuanzisha taasisi hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents