Burudani ya Michezo Live

NMB waadhimisha siku ya watoto duniani kwa ‘style’ ya kipekee

Jumatano hii dunia nzima inaadhimisha siku ya watoto duniani ambapo nchini Tanzania siku hiyo imeadhimishwa kwa wadau mbalimbali kupaza sauti zao kwa serikali juu ya haki za watoto.

Kwa upande wa taasisi za kifenda, Benki ya NMB imeadhimisha siku hiyo kwa style ya kipee.

Heri ya #SikuYaMtotoDuniani

Katika kuadhimisha #SikuYaMtotoDuniani,Benki ya NMB Makao Makuu liliwasha taa za bluu kuunga mkono Shirika la uniceftanzania katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 30 ya Mkataba juu ya Haki za Mtoto

Ni wakati wa kuwaunga mkono na kuwawezesha watoto na vijana ambao wanasimamia na kudai haki zao kote Ulimwenguni ni sasa.

#KwaKilaMtoto, Kil haki inatimizwa!

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW