Promotion
NMB yadhamini maonesho ya Mbeya Expo
Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe akitia sahihi kitabu cha wageni alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expo yaliyofanyika katika viwanja vya Mkapa vilivyopo soko la Matola jijini Mbeya.Maonesho hayo yalidhaminiwa na Benki ya NMB
Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Lucresia Makiriye, akimwelezea Waziri wa Uchukuzu, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe huduma na bidhaa zinazotolewa na benki yaNMB mara alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expoyaliyodhaminiwa na benki ya NMB
Afisawabenkiya NMB, Jacquiline Tumaini (tatukushoto) akimfungulia akaunti yaNMB ChapChapmteja aliyehudhuria maonesho y aMbeya Expo katika viwanja vya Mkapa, vilivyopo sokola Matolajijini Mbeya