Promotion

NMB yadhamini Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za mitaa kati ya Tanzania na China

IMG_3044
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na wadhamini wakuu mara baada ya kufungua Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China uliofanyika jana katika kituo cha mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

IMG_2956
Wafanyakazi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Wakubwa wa benki ya NMB wasikimsikiliza Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda , alipokua akifungua Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China uliofanyika jana katika kituo cha mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

IMG_2870
Mmoja wa wageni waliohudhuria Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China Bi.Vivian Meng akipata maelezo kuhusu Huduma za NMB ChapChap kutoka kwa Afisa wa NMB, Batuli Sunna (kati) alipotembelea banda la NMB, kushoto ni Afisa wa NMB, Dorine Salvanus

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents