Videos

Nonini avunja ukimya kwa kuachia video mpya ‘Kwama nao’ (Official video)

Godfather wa Genge Nonini kutoka Kenya amevunja ukimya kwa kutoa video mpya ya wimbo wake ‘Kwama nao’ utakaopatikana katika album yake ya nne ‘Mdundo za Kibiashara’.

Nonini ambaye jina lake halisi ni Hubert Nakitare mbali na muziki pamoja na biashara zingine, ni mtangazaji wa radio katika kituo cha One Fm, jijini Nairobi .

Tazama hapa video yake mpya ‘Kwma nao’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents