Uncategorized

Nukuu kutoka kwa watu wenye nguvu ya ushawishi duniani

Kazi yangu kila Jumapili ni kukuletea nukuu saba kutoka kwa watu ambao wamefanya mambo makubwa au ya kipekee katika ulimwengu huu. Nukuu za leo zimelenga kukujengea uwezo wa kusimamia malengo (goals) yako ili kufikia mafanikio.

Ben Stein, Napoleon Hill, Robert J. Mckain na Linda Richter
  1. Hatua ya mwanzo na muhimu kupata kile unachotaka katika haya maisha, ni kuamua ni kitu gani unataka – Ben Stein.
  2. Watu wenye malengo hufanikiwa kwa sababu hufahamu kule wanapoelekea – Mark Caine.
  3. Kama hujui unapoelekea kwa nini utatengemea kufika kule? – Basil S. Walsh.
  4. Hakuna mafanikio pasipo kuwa na malengo – Robert J. Mckain.
  5. Tengeneza orodha na toa vipaumbele na ipitie kila wakati – Linda Richter.
  6. Miongoni mwa vitu muhumu katika malengo ni kuwa na moja (lengo kuu) – Geoffrey F. Abert.
  7.  Dunia ina tabia ya kutengeneza chumba kwa wale wote ambao maneno na vitendo vyao hufahamu kule wanapoelekea – Napoleon Hill.

Shukrani, dondosha comment yako hapo chini kuelezea ni nukuu ipi imekubamba zaidi.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents