Burudani
Nuru ndani ya Florida
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nuru Mohd aka Nuru the Light, anatarajia kufanya show kambambe pale Florida KeyWest, Oyster Bay maeneo ya kilimanyege siku ya Jumatano
tarehe 20 Januari.
Tunawakaribisha wadau wote wahudhurie show ya nguvu kabisa kutoka kwa mwanadada Nuru the Light!