Burudani

Nuru The Light aeleza kwanini wanamuziki wa kike hawashirikiani kama wa kiume

Ni nadra sana wasanii wa kike kushirikishana kwenye nyimbo zao kama wafanyavyo wasanii wa kiume. Tatizo ni nini? Tumezungumza na msanii wa Tanzania anayeishi nchini Sweden, Nuru The Light aliyetueleza sababu.

Nuru 1

“Wanawake hawajakuzwa kwenye mazingira ya kucompete na wanaume, let alone na wanawake wenzao. So chochote kile kitakachowafanya washirikiane always kutakuwa na doubt au insecurities, so mwisho wa siku it takes a strong woman na anayejitambua kuweza kukutana na mwanamke wa aina yoyote ili aweze kufanya naye,” Nuru ambaye amesharejea nchini Sweden ameiambia Bongo5.

“Mwisho wa siku naweza sema mostly sababu ni insecurity na inferiority complex na mazingira ambayo imefanya wanawake wawe wazito katika kufanya kazi pamoja maana wanaume hawacomplicate stuff wako simple on that area.”

Hivi karibuni Nuru aliachia video ya wimbo wake L. Itazame hapo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents