Burudani

Nuru The Light aeleza namna fitna za wadau wa muziki zinavyowatafuna wasanii (Video)

Msanii wa muziki Nuru The Light ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Umeniacha’ amefunguka kuzungumzia fitna na ‘figisu figisu’ za wadau wa muziki na namna zinavyowakatisha tamaa wasanii. Muimbaji huyo amedai wasanii wengi wanashindwa kufanya vizuri sio kwa sababu hawana vipaji au wanaimba vibaya bali ni kutokana na fitna zilizojaa kwenye muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents