Tia Kitu. Pata Vituuz!

Nyanshiski amjia juu mtangazaji kutoka Kenya na kumwambia anawapendelea wasanii kutoka Tanzania, kisa wimbo wa Kwangwaru (+ Video)Msanii wa muziki kutoka Kenya Nyanshiski amefunguka mengi na kutupia lawama zake kwa mtangazaji kutoka katika kipindi cha Mseto na kumwambia anawapendelea wasanii kutoka Tanzania.

Msanii huyo mkongwe kutoka Kenya amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kumtupia lawama hizo mtangazaji anayejulikana kwa jina la Mzazi Willy Mtuva na kumwambia kwanini kaweka kipande cha Interview yake ikimuonyesha Governor mmoja kutoka Kenya akisema anaukubali wimbo wa Kwangwaru wa msanii Harmonize.By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW