Burudani

Nyimbo 10 za Bongo zilizopakuliwa (downloaded) na kusikilizwa zaidi mtandaoni Jan – March 2014

Hizi ni nyimbo 10 za Bongo zilizopakuliwa (downloaded) na kusikilizwa zaidi mtandaoni. Data hizi zimepatikana kwenye akaunti ya Hulkshare ya blog ya hassbaby ambapo ukilinganisha na akaunti zingine za mtandao huo zinazomilikiwa na blog zingine, yenyewe inaongoza kwa kuwa na downloads nyingi.

1. Diamond ft. Davido – Number One Remix
Iliwekwa Jan 6, 2014
Imesikilizwa 45,203
Imepakuliwa 18,529

2. Weusi – Gere

Iliwekwa Jan 31, 2014
Imesikilizwa 33,267
Imepakuliwa 14,339

3.Diamond Platnumz – Uswazi take away rmx
Iliwekwa Jan 15, 2014
Imesikilizwa 30,054
Imepakuliwa 13,642

4. Shetta Ft. Diamond – Kerewa
Iliwekwa Feb 27, 2014
Imesikilizwa 28,582
Imepakuliwa 12,937

5. Ommy Dimpoz – Miss Koi Koi
Iliweka Jan 29, 2014
Imesikilizwa 23,523
Imepakuliwa 10,322

6.Mrisho Mpoto – Waite
Iliwekwa Jan 1, 2014
Imesikilizwa 19,776
Imepakuliwa 10,079

7.R O M A ft NICOLAZO – K K K
Iliwekwa March 10, 2014
Imesikilizwa 20,857
Imepakuliwa 10,651

8. Lady JayDee – Historia
Jan 10, 2014
Imesikilizwa 20,494
Imepakuliwa 9,764

9. MWASITI – SEREBUKA
Iliwekwa Jan 13, 2014
Imesikilizwa 19,769
Imepakuliwa 9,464

10. JUX – NITASUBIRI
Iliwekwa March 4, 2014
Imesikilizwa 16,673
Imepakuliwa 9,266

Bonus: Ben Pol Ft Fundi Samwel & Joh Makini – Unanichora
Iliwekwa Feb 11, 2014
Imesikilizwa mara 13,849
Imepakuliwa 9,190

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents