Nyimbo 10 zilizoangaliwa zaidi Youtube Afrika , Diamond atoa neno kwa kushika namba moja (+ Video)

Kupitia ukurasa wake wa Instagrma msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost orodha ya nyimbo 10 zilizotazamwa zaidi katika bara la Afrika kupitia mtandao wa YouTube kwa mwaka 2020.

Nyimbo hizo 10 wimbo namba moja ni Jeje wa Diamond Platnumz huku wimbo alioutoa wiki kadhaa nyuma WAAH aliomshirikisha Koffi Olomide ukishika nafasi ya tatu.

Kupitia Instagram yake ameandika hivi:

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW