Burudani

Nyimbo tosha ya Pina kuingia sokoni wiki hii

Karapina_peke_yake

mwanamuziki wa kizazi kipya Karapina anatarajia kuachia  sokoni albamu yake ya Nyimbo tosha aliyoizindua mwezi wa 3 mwaka huu, amesema anataraji kuisambaza mwenyewe katika maduka ambayo wamekuwa wakisambaza kazi zao katika siku za karibuni.

 


Akizungumza na Bongo5, alisema tangu azindue alikuwa bado ajahusambaza mtaani kutokana na sababu ndogo ndogo, hata hivyo amesema atazindua pamoja na Dvd ambayo itaonyesha matukio yote siku ya uzinduzi wa albamu hiyo.

Pia anasema lile tamasha la  King Of Stage ambalo mwisho lilifanyika mwaka jana, mwaka huu litafanyika tena, kwa kukutanisha wasanii ambao wataalam wa kulitawala jukwaa.  Amesema fomu za  tamasha hilo, zitatolewa baada ya kuisha kwa mfungo wa mwenzi mtukufu wa ramadhani mwaka huu.

karapina_studio_yake

Karapina_studo

karapina_studi

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents