Obama aongelea Mashariki ya kati

barack_obamaRaisi Baraka Obama, ametoa hutuba katika Ikulu ya Marekani, akisifu juhudi za mataifa ya Mashariki ya kati nay ale ya Kaskazini mwa Afrika kwa kitendo cha miezi sita hii kupambana na utawala wa mabavu ambao aliuita kama wa kigaidi.


Mr Obama anasema kutokana na ushahidi ulikuwa wa hivi karibuni kwa viongozi wa nchi mbili kati yaTunisia, na Misri kutoka madarakani, kitawakuta na wengine wenye tabia kama hizo.

 

Amesema wananchi wa nchi hizo wameonyesha mfano kwa kuhitaji demokrasia ya kweli, na kufanya nchi za jilani kupata mwamko.

Pia Raisi Obama amezungumzia kuhusu kifo cha kiongozi wa Al Qaida Osama Bin Laden aliyeuwawa na jeshi maalum la Marekani, kwa kusema kifo chake hakihusiani na dini, ila ni mawazo aliyoyeweka kabla ya kifo chake.

Aliongeza kwa kuserma kwa kipindi hiki Marekani itajihimalisha zaidi katika majimbo yake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents