Burudani

Ochu aja Kuchakachua

Ochu_kenya_3_copy

Huyu ni msanii Ochu ambaye ameshatowa kazi zake mbili ya kwanza Dar es salaam na ya pili ambayo inafanya vizuri mpaka sasa ni Umechakachuwa.Kazihizo zote zimefanyika katika Studios za Seductive Records chini ya Producer Jilly ambaye kwa sasa yupo nchini kenya kikazi.


Nyimbo hizo zote zina Music Videos na zimetayarishwa na Director Solomon Lamba pale Emptysoulz Production, kwa sasa Ochu yupo mbioni katika kuandaa Music Video yake ya Tatu ambayo itakwenda kwa jina la Hofu ambayo anaamini itawashika zaidi na zaidi funs wake kwani kwa Tracks zake zilizopita watanzania wameonyesha kumpokea vya kutosha kiasi cha kuzipelekea Nyimbo na video zake kushika nafasi za juu east africa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents