Burudani ya Michezo Live

Ofa ya Bilionea wa Kimarekani, Todd Boehly ya kuinunua Chelsea yagonga mwamba mbele ya Mrusi

Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Mrusi Roman Abramovich amekataa ofa ya mamilioni ya fedha kutoka kwa bilionea wa Kimarekani, Todd Boehly.

US financier Todd Boehly had a bid to take over at Chelsea rejected by Roman Abramovich

Bilionea wa Kimarekani, Todd Boehly

Boehly ambaye anamiliki asilimia 20 ya klabu kubwa ya Baseball nchini Marekani, LA Dodgers alitoa pauni Bilioni 3 na kukataliwa na Mrusi huyo Abramovich.

Bilionea huyo Mmarekani, Todd Boehly mwenye utajiri upatao pauni Bilioni 4.72 ameripotiwa kuwa ofa yake kutomvutia Roman Abramovich.

The Russian, pictured here with Cesar Azpilicueta after the Europa League win, seeks a buyer

Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Mrusi Roman Abramovich

Kwa mujibu wa jarida la Financial Times, licha ya dau la Todd Boehly mwenye umri wa miaka 46 kukataliwa na Abramovich lakini bei maalum haijulikani.

Na hizi ni klabu za Premier League ambazo zinamilikiwa na Wamarekani

Manchester United: The Glazers

Arsenal: Stan Kroenke

Liverpool: Fenway Group

Aston Villa: Wesley Edens (shared)

Crystal Palace: Joshua Harris, David Blitzer (shared with Steve Parish)

West Ham: Albert Smith (10 per cent stake)

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW